FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Huu uwanja usingetumia kwa vimechi vidogo vidogo kama hivi hadi AFL imalizike. Kuna uchakavu wa pitch, matangazo na maeneo mengine unaenda kufanyika. Sijui hili limeruhusiwa vipi. Kisa tu Yanga wanataka wahakikishe wanacheza mbele ya mabango ya AFL kabla hayajaondolewa.
 
Mpaka huo muda kufika sijui wenye nchi yao watakuwa wamerudisha umeme? Mambo ya kipuuzi sana yanaendelea…
Naweza kukosa mechi hivihivi!
 
Mpaka huo muda kufika sijui wenye nchi yao watakuwa wamerudisha umeme? Mambo ya kipuuzi sana yanaendelea…
Naweza kukosa mechi hivihivi!
Nifah tafuta sports lounge kubwa ukaangalie huko..!! Nyumbani kama huna alternative electrical power source unatafuta pressure..!!
 
Mpaka huo muda kufika sijui wenye nchi yao watakuwa wamerudisha umeme? Mambo ya kipuuzi sana yanaendelea…
Naweza kukosa mechi hivihivi!
Next time mkipewa kanga na chumvi msituchagulie hao watu...😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…