FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Kwa saizi siwezi kusema chochote maana mpaka sasa mahesabu yangu yamekuja ndivyo sivyo.
Hawa waarabu wa matopeni Leo Leo baada ya mechi wataanza safari kurudi kwao.
 
Yanga bado hawatapita hili kundi, mechi ijayo anapoteza kwa Ahly halafu Belouzidad wanashinda dhidi ya Medeama. Safari ya Yanga itakomea hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…