Wenzenu wanacheza mpira uwanjani, nyinyi siku zote mnapenda kucheza mpira wa mdomoni! Haya mseme sasa!Hii ya leo imenishtua sana na kuona hata matumaini yangu kwenye mechi na Galaxy naweza kukutana na matokeo tofauti
Yanga atafuzu kwa H2H.Kwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
Hahaahaha ila Yanga tuna jua kila kituOyoooooo mechi ijayo tunachezesha mashabiki.
Utofauti wa magoli waliofungana yanga na beloizdadKwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
Tyeeeeenaaaπ€£π€£π€£Usiku wa wanayanga....
Leo Yanga tunatoaπΉ yote ππππ
Ngojeni msifuzu muone
Nyie si mmekalia kuichambua Yanga endeleeni hivyo hivyoHii ya leo imenishtua sana na kuona hata matumaini yangu kwenye mechi na Galaxy naweza kukutana na matokeo tofauti
Mbona wamechukia mashabiki wa simba
Hii ya leo imenishtua sana na kuona hata matumaini yangu kwenye mechi na Galaxy naweza kukutana na matokeo tofauti
Simba bado snaaHUU NDIYO MPIRA SASA SIYO MPIRA WA SIMBA KAMA VILE KUNA MSIBA
my love enjoy leo.nikupe zawadi gani?
ππππUsiku wa wanayanga....
Leo Yanga tunatoaπΉ yote ππππ
Waarabu feki. ππNani kaumiaaaaaa
Wanaangali head to head mkuu Yanga kashaenda robo mkuuKwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
Nawe sio kwasababu umebahatisha hapa ukaanza kupiga domo kisa tu kuwafunga viwete unafikiri ntakosa guts za kukujibuWenzenu wanacheza mpira uwanjani, nyinyi siku zote mnapenda kucheza mdomoni! Haya mseme sasa!
Maana yake?Yanga atafuzu kwa H2H.