FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Mchana tumeitwa majina ya ajabu sana ama kweli mungu fundii sana😂😁😁
20240224_212247.jpg
 
Ngoja nikusaidie mkuu
CR akishinda atakua sawa point na yanga ambazo ni point 8 so kitakachoangaliwa nikati yao nan alimfunga mwenzake goli nyingi (head to head) ambapo yanga anagoli 4 na CR alimfunga goli 3 Yanga

Kwahiyo Yanga anapita kwa advantage ya goli 4 alizoshinda leo
Wewe SASA ndio umeeleza Vizuri.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] cheka tuu ndugu yangu ndo imeshakua sasa...
Mashabiki wa Yanga wamevurugwa na wanasumbua balaaa.
Hatulali leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom