FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Ngoja nikusaidie mkuu
CR akishinda atakua sawa point na yanga ambazo ni point 8 so kitakachoangaliwa nikati yao nan alimfunga mwenzake goli nyingi (head to head) ambapo yanga anagoli 4 na CR alimfunga goli 3 Yanga

Kwahiyo Yanga anapita kwa advantage ya goli 4 alizoshinda leo
Kwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
 
Aisee bhana bhana, tupo tbc hapa kocha wa cr belouizdad anahojiwa hawa waandishi wetu kingereza kimepita mbali kwa kweli🤣🤣
 
Kuanzia Leo nikikuta mtu anamlinganisha pacoume fundi mtu na nusu na kina chama ntampiga vibao

Aisee pacomee anajiamini sana uchezaji wake
Pacome ni daraja la juu sana anafanya uone Mpira ni rahisi kucheza .
 
Hii come back aliishaifanya Simba kwa platnum...hongereni kwa kujifunz kwa kaka zenu...
 
🤣😂 😂 niliuhifadhi kwenye black box ni suala la muda Tu kabla ya kuvamia , ila siku ya leo nina MaFile mengi ya kuyafanyia kazi nadhani nitakuwa bize wiki nzima kufanya mashambulizi.

Siamini Mimi leo nimetingwa mpaka kumsahau ndugu Mwasibu mpaka sasa ,rekodi ya risiti za Leo ni nyingi kuwahi kutokea mpaka Popoma yupo kwenye list..
Pole sana ndugu yangu we twende taratibu mpaka tuwafikie wote kwa ukubwa ule ule. 😂😂😂😂

Halafu tuwaibie siri tu sisi ni kama vijukuu vya mtume kuna nyuzi tunazipotezea ila zile tunazotia neno tu wajue mwisho wa siku zitawageukia. 😂😂😂
 
Aisee bhana bhana, tupo tbc hapa kocha wa cr belouizdad anahojiwa hawa waandishi wetu kingereza kimepita mbali kwa kweli[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Kwani nani ambaye hana timu?
Wewe ungekuwa nayo usingekubali kupigwa 5
20240212_170117.jpg
 
Back
Top Bottom