FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Hiyo picha ni ya saa ngapi?
Ya sasa hivi mkuu!
Bado wanaendelea kuleta fujo.
Wanavikitu wanawarushia Mashabiki kuwapiga navyo
Sio wastaarabu ni wagomvi
 
Leo lazima tuyaone majini kwa langi yao japo yamejitahi kupaka bleach
GGJ7XB5XMAAhfQO.jpeg
 
Naitwa Mwili obhale kutoka Makongorosi Chunya nawatakia Belouizdad Ushindi Mnono..

Natuma salam kwa:-
  • Hamiss Full Migebuka,
  • Baba Nurathy Mfuga Njiwa,
  • Daudi Wa Kota na
  • Chesco mzee wa matunda
Ujumbe:Michezo Ni afya
 
Kila la heri Timu Ya Wananchi💛💛💚💚💛💛`
Timu ya wananchi tayari inahesabu kufikia kilele cha mafanikio kuingia hatua ya makundi! Kwa maono hayo ya kuku nawapa pole wanaosubiri ushindi! watasubii sana!
 
IMG_20240224_185331.jpg

Wameongezeka Tayari....
Timu ndio zinaingia Uwanjani sana.
 
Back
Top Bottom