FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Never say never...

Yanga akishinda kuanzia 4-0 ameshafuzu
Yeah itaangaliwa head to head walipokutana au goal difference.

Hapa Mwarabu anahitaji goli 1 tu next match ashinde ili kuwaondoa hawa vyura wa Jangwani kwenye haya mashindano

Huku kimataifa ni kwa Simba tu
 
Back
Top Bottom