Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo goli linatokea wap?Waarabu wanagombana nje ya uwanja kocha na mchezaji
Hahahaaaa. LolBaada ya Match utasikia aje hata Bayern Munich tunampiga 7
High quality performance, hongereni sanaKabisa Mkuu na wachezaji wanajua kujitoa aiseeee.
Hawaamini wanachokionaBenchi la CR Belouizdad mbona wanataka kuchapana ngumi wenyewe kwa wenyewe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usifike huko tafadhariiii.Inauma sana Na inakereketa sana Unaweza ukarudi Nyumbani umtandike mwanao anayeshabikia Yanga bila sababu
Mediama akifa 6.Kivipi mkuu?...fafanua.
Uto...tayari kafuzu mkuu
Shukran Mkuu. 🤝High quality performance, hongereni sana
mkuu nimecheka sanaInauma sana Na inakereketa sana Unaweza ukarudi Nyumbani umtandike mwanao anayeshabikia Yanga bila sababu
Pole hujui kituMediama akifa 6.
Mkipigwa na Al Ahly hamuingii
Haiwezekani kamwee hii kutokea.Mediama akifa 6.
Mkipigwa na Al Ahly hamuingii
kuna yule dofo faisal dogo atakuwa anasonya sana alipoMayele anatazama mechi hii akiwa wapi jamani?
Huku majini hayazuiliki 😂😂😂
Hizo 6 sio chache mkuu kwa Madeama kukubali na kwa moto wa Utopolo usishangae wakafanya maajabu Cairo.Mediama akifa 6.
Mkipigwa na Al Ahly hamuingii