FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Kuendelea kumtegemea Chama na saidoo tutachelewa sana. Halafu yule Striker Fred sijaona qlichomzidi Chilunda. Viongozi simba matapeli.
 
Mayele sijui atakuwa anajisikiaje huko timu yake imetoka kukandwa tatu na tp mazembe huku yanga imejikandia mtu nne bila
Watu wanaomsifu walikuwa hawajui, alikuwa nichoyo mkubwa aliyekuwa anainyima timu ushindi kwa kuulazimisha bila kutoa assist
 
Mashabiki wa Yanga wamevurugwa na wanasumbua balaaa.
Hatulali leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi hawanisumbui hata kidogo.....mimi huwa nakumbusha ya nyuma tuu...mnyama kashafanya zaidi ya haya...
 
Mtaniii hebu tuachee sie tu deal na Galaxy, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie si mshatimba tayari Robo? Tuwekeeni nafas hapo tunakujaaa.
Hahahaaaa. Nimecheka sana Mtani.

Yaani wenyewe ile dirooo ya jana mkajiona mshafuzu. Leo matumbo joto yameanza. 😂😂

Na bado tutawachawia sana siku hiyo.
 
Watu wanaomsifu walikuwa hawajui, alikuwa nichoyo mkubwa aliyekuwa anainyima timu ushindi kwa kuulazimisha bila kutoa assist
Nilimsema humu watu wakasema wivu..mayele alikua mchoyo alitaka ajulikane mwenyewe...
 
Muda si mrefu nitapitisha tena bakuli ili mumchangie kwa ajili ya nauli ya kwenda kuchukua dawa. 😁
Unajitahidi sana kumpambania mdogo wako tatizo dogo mbishi hatambui mchango wako na anadharau maagizo ya madaktari , uzuri kwamba huwa unatambua mapema dalili za awali na kurekebisha majambo kabla hayajakuwa mabaya zaidi.
 
Hahahaaaa. Nimecheka sana Mtani.

Yaani wenyewe ile dirooo ya jana mkajiona mshafuzu. Leo matumbo joto yameanza. [emoji23][emoji23]

Na bado tutawachawia sana siku hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi hatuna wasi wasi, yaan wydad hata ashinde 100, sisi jwaneng tunawakalishaaa na tunaingiaa roboo, mbona hata CAF wanajua na nafas yetu iko pale pale.
 
Back
Top Bottom