FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Imeisha hio
1708800277628.jpg
 
Watani wangu wapendwa sana...
Charles kilian
Tate Mkuu
Ngalikihinja
Labani og
Nawasalimia kwa jina la 4G MAJINI.
Karibuni Calabash niwanunulie kuku mfurahie ushindi wenu wa kuingia robo fainali ya kwanza baada ya miaka 75...duuhh...hii ni balaa
Wewe unaongelea robo fainali! Watu wanawaza muda huu kutengeneza tshirts kama zile za Mapinduzi cup zenye nembo ya The Champions!! Yaani gari ndiyo limeshawaka! Kituo ni fainali. 🥇🥈🏆
 
Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.

Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.

Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
Huu ushuzi wa wp?
 
Back
Top Bottom