Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Mengi mno
timu moja inatoshahahaha. Hapana, natamani sana mshinde. Tukienda timu mbili robo, itakua good sana!
Mkuu kanuni za caf sio kama gia za zhong tongYeah itaangaliwa head to head walipokutana au goal difference.
Hapa Mwarabu anahitaji goli 1 tu next match ashinde ili kuwaondoa hawa vyura wa Jangwani kwenye haya mashindano
Huku kimataifa ni kwa Simba tu
Hilo domo la azizi jamani...khaaa...
Pole shoga angu [emoji2960]Haipo hiyo kanuniii.
Haya yamekuja baada ya ushindi wa leo!Kuendelea kumtegemea Chama na saidoo tutachelewa sana. Halafu yule Striker Fred sijaona qlichomzidi Chilunda. Viongozi simba matapeli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sema kweli.hahaha. Hapana, natamani sana mshinde. Tukienda timu mbili robo, itakua good sana!
Wewe unaongelea robo fainali! Watu wanawaza muda huu kutengeneza tshirts kama zile za Mapinduzi cup zenye nembo ya The Champions!! Yaani gari ndiyo limeshawaka! Kituo ni fainali. 🥇🥈🏆Watani wangu wapendwa sana...
Charles kilian
Tate Mkuu
Ngalikihinja
Labani og
Nawasalimia kwa jina la 4G MAJINI.
Karibuni Calabash niwanunulie kuku mfurahie ushindi wenu wa kuingia robo fainali ya kwanza baada ya miaka 75...duuhh...hii ni balaa
HaaahaaaaKinachouma ni kwamba hata akishinda Yanga hafuzu.Hapa yenyewe wanahitaji goli 3 ili wafuzu,kitu ambacho hakiwezekani
Huu ushuzi wa wp?Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.
Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.
Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
Mmeanza. Mara YANGA itafungwa. Imepiga mtu 4 kasoro 1 zitimie kama zenu,mmeanza kujifariji,mara mmezoeaSimba tumeshazoea kufika robo fainali leo yanga watalala na viatu hakiyamungu.
Ya Mwenge?Watani wangu wapendwa sana...
Charles kilian
Tate Mkuu
Ngalikihinja
Labani og
Nawasalimia kwa jina la 4G MAJINI.
Karibuni Calabash niwanunulie kuku mfurahie ushindi wenu wa kuingia robo fainali ya kwanza baada ya miaka 75...duuhh...hii ni balaa
Umeshiba,ushindi...Wewe unaongrlea robo fainali! Watunwanawaza kutengeneza tshirts kama zile za Mapinduzi vup zenye nembo ya The Champions!! Yaani gari ndiyo limeshawaka! Kituo ni fainali.
Nimesikia kuna timu ilikua inaombea mwarabu apigwe 5 ili wachekane vizuriLeo tumempiga 5imba aliyejificha kwa waarabu