FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Hello, i am from Bangladesh, i don't your language lakini hii Yanga inatisha asee.
Inatisha na umetishika hadi ukatema yai la chura 🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 1708709286745.jpg
    1708709286745.jpg
    108.3 KB · Views: 3
Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.

Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.

Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
Umeongea ukiwa na uchungu sana. Mkuu bora uzae tu ndio salama yako
 
Back
Top Bottom