Sina chuki na mayele ni maoni yangu kwa nilivyomuona kwenye mechi, hao wachambuzi ni maoni yao pia siyapingi.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote.
Leo Mayele kakichafua kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…