FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Huyu kocha Anaongea fitness, kwani Yanga hawana fitness.

Nafasi za kufunga unapata nyingi, huingii ndani, fitness inatoka wapi hapa.

Muhimu tutasonga mbele.
Kama huna fitness hata ukiwekea mpira kwenye penalt box lunaweza kosa. Azizi kii umeona mashuti yake? Dhaifu? Linganisha na azizi ki wa msimu uliopita?

Kocha yuko right, no fitness, wachezaji wanapoteza fire mapema sana.
 
πŸ˜πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜πŸ˜…πŸ˜ taarifa nilizozizipata ni kwamba maulidi kitenge ndiye aliyepanga kikosi cha leo kilichochakazwa vikali na Al Hilal ya Sudan, hii imetokana na ugeni wa kocha wa Yanga ambaye alikuwa hawafahamu vema wachezaji.

Nawasilisha hili na niiko tayari kutukanwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…