FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Huyu kocha Anaongea fitness, kwani Yanga hawana fitness.

Nafasi za kufunga unapata nyingi, huingii ndani, fitness inatoka wapi hapa.

Muhimu tutasonga mbele.
Kama huna fitness hata ukiwekea mpira kwenye penalt box lunaweza kosa. Azizi kii umeona mashuti yake? Dhaifu? Linganisha na azizi ki wa msimu uliopita?

Kocha yuko right, no fitness, wachezaji wanapoteza fire mapema sana.
 
Screenshot_20241126-191034.jpg
kocha wa yanga migul Gamondi kupitia X amewaonya wanayanga kuwa alifukuzwa kwa sababu sisizo eleweka ila ukweli utajulikana

USSR
 
Back
Top Bottom