BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Yah kweli angalia marudio mara kwnza alivaa shati jeupe akanyanyua mikono juuKweli!?
kwapa zimeloa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah kweli angalia marudio mara kwnza alivaa shati jeupe akanyanyua mikono juuKweli!?
Mno yani🤣🤣🤣Magoma apewe timu yake sasa 😂
Kama huna fitness hata ukiwekea mpira kwenye penalt box lunaweza kosa. Azizi kii umeona mashuti yake? Dhaifu? Linganisha na azizi ki wa msimu uliopita?Huyu kocha Anaongea fitness, kwani Yanga hawana fitness.
Nafasi za kufunga unapata nyingi, huingii ndani, fitness inatoka wapi hapa.
Muhimu tutasonga mbele.
Timu mbovuKwahiyo mnaotazama tatizo nini? Mpango wa kikosi/Kocha(mbinu) au wachezaji?
Kwamba mimi ndio mzimu mkuu ?😂hii shughuli lazima iingiliwe na mizimu sasa!
KabisaMagoli kama ya Tabora
Situmii bando natumia unlimitedMimi ni simba na simba huwa ni King of the jungle 🤔🤔 ebu gugo hapo 😂😂😂😂 au hauna bando mkuu😅😅😅
Ni miyeyusho sana haoIfike muda sasa Diarra apumzishwe. Hee mnamchezesha mtoto wa watu, kama Bot!!!
Kwaherini, ngoja nipumzike kwanza. Maana nitawachamba hao kina Azizi K waone kwanza.
😂😂😂😂😂 acha izo mrudi wapi mkiwa na nguvu?😂😂😂😂Hapa nafuta machozi siamini kilichotokea kwa mkapa. Tutarudi tukiwa na nguvu moja. Daima mbele Mwiko nyuma 😭
Bora wewe mimi naishi free tu situmii chochote kabisa😂😂😂😂😂😂😂Situmii bando natumia unlimited
😀😀😀Bora wewe mimi naishi free tu situmii chochote kabisa😂😂😂😂😂😂😂