Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
WEka namba ya huyo binti hapa..Hersi leo hapokei simu ya mtu.
Kila call leo anadhani inatokaka kwa Magomaπ
Yani hata mm napumzika mkuuYanga wamekosa nafasi tisa, wageni wakakosa nafasi moja lakini wakafunga mabao 2. Ni aibu kweli kweli. Inakuwaje Yanga wanakosa mabao ya wazi kirahisi hivyo? Nafasi tisa ni nyingi sana. Inabidi niache ushabiki wa mpira kwani nitapata ugonmjwa wa moyo. Ndugu zango Kolo wamechinja mbuzi nao kusherehekea supu.
Pole sana mrembo.Tutashinda amini hivyo. π
penati zinapatikana mechi ya nyauRefa tutafutie basi penati
apigwe ban huyu πYanga akishinda hii game nipigwe Ban wiki kavu
Sijakuzoea hivyo πNimesafiri kidogo, nitarudi wakati mwingine tafadhali,
Ahsante..!
Jane kama Jane na Jana yakeYanga akishinda navua nguo
ππππSijakuzoea hivyo π
.Issue gani ya Azam?
Njoo nakusubiria hapa usivae hata ChupiYanga akishinda navua nguo
Diara alitenga miguu kabisa kama anajianda kupigwa mashine