FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Yanga wamekosa nafasi tisa, wageni wakakosa nafasi moja lakini wakafunga mabao 2. Ni aibu kweli kweli. Inakuwaje Yanga wanakosa mabao ya wazi kirahisi hivyo? Nafasi tisa ni nyingi sana. Inabidi niache ushabiki wa mpira kwani nitapata ugonmjwa wa moyo. Ndugu zango Kolo wamechinja mbuzi nao kusherehekea supu.
Yani hata mm napumzika mkuu
Ujue mpira unatupunguazia stress za maisha nao ushakua soo
 
Tunazika Ama Marehemu Tunamsafirisha?!
FB_IMG_17318564848104391.jpg
 
Nani tena kapunguza mwanga wa jua pale taifa dube ameshindwa kufunga.
Tunahujumiwa sana, tunahamia uwanja wa nyamagana mechi zetu za kimataifa.
 
Back
Top Bottom