Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
WEka namba ya huyo binti hapa..Hersi leo hapokei simu ya mtu.
Kila call leo anadhani inatokaka kwa Magoma😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEka namba ya huyo binti hapa..Hersi leo hapokei simu ya mtu.
Kila call leo anadhani inatokaka kwa Magoma😁
Yani hata mm napumzika mkuuYanga wamekosa nafasi tisa, wageni wakakosa nafasi moja lakini wakafunga mabao 2. Ni aibu kweli kweli. Inakuwaje Yanga wanakosa mabao ya wazi kirahisi hivyo? Nafasi tisa ni nyingi sana. Inabidi niache ushabiki wa mpira kwani nitapata ugonmjwa wa moyo. Ndugu zango Kolo wamechinja mbuzi nao kusherehekea supu.
Pole sana mrembo.Tutashinda amini hivyo. 🙏
penati zinapatikana mechi ya nyauRefa tutafutie basi penati
apigwe ban huyu 👆Yanga akishinda hii game nipigwe Ban wiki kavu
Sijakuzoea hivyo 😀Nimesafiri kidogo, nitarudi wakati mwingine tafadhali,
Ahsante..!
Jane kama Jane na Jana yakeYanga akishinda navua nguo
😂😂😂😂Sijakuzoea hivyo 😀
.Issue gani ya Azam?
Njoo nakusubiria hapa usivae hata ChupiYanga akishinda navua nguo