FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

The future will decide...
Punguza manenooo...πŸ’›
 
Mechi ya Al Ahly na Cr Belarouzidad ndio mechi ya maamuzi kwa Cr Belarouzidad.

Akishinda hiyo mechi basi hapo utakuwa umebadilishiwa mpinzani. Mpinzani hatokuwa Cr Belarouzidad tena hapo atakuwa ni Al Ahly.

Na kama tujuavyo sidhani kama Al Ahly ataruhusu kutolewa kwenye makundi.
 
Mkuu usisahau kupandisha uzi wa Al ahly huko wanapocheza
 
Lini utapata akili wewe? H2H ni criteria ya nne ujuaji mwingi akili kisoda
 
Wewe naona umeanza Yale ya Ahmed Ally kua mtampiga Galaxy nje ndani...

Kama Yanga ana nafasi ngumu ya kufuzu basi Simba atakua Hana nafasi kabisa hata ya kusubiri kipengele cha magoli maana Nina uhakika Asec lazima awafunge...

Ina maana sehemu pekee ambayo walau mnaweza kuokoteza point ni Kwa Galaxy lakini Naye pia Katika rekodi zake alishawapasua Kwa mkapa hivo atakuja akiwa kifua mbele sio kinyonge lakini Yanga akimpiga CR B Goli tatu Maisha yatakua matamu tu
 
The future will decide...
Punguza manenooo...πŸ’›
Tunaweza kupima yanayoweza kujiri baadaye kupitia dalili zilioonekana leo.

Simba hana mechi ngumu mechi ngumu ilikuwa ya jana.

Wakati Yanga mechi rahisi ndio ilikuwa ya leo

Japo ni kweli matokeo ya mpira yanaweza kushangaza watu ila haizuii kufanya makadirio kupitia statistics.

Ndio maana hata kampuni za kubeti zinatumia vigezo hivyo.
 
Kuweni na Akiba.
 
Acha kujieleza sana kaka
 
Cha ajabu kuna wengine wameumia zaidi ya Mediama. 🀣
Mi sijaumia

Ningeumia kama mngevuka makundi

Ila ishu ya kushinda na kushika nafasi ya pili tena nafasi ya pili kwa temporary wala hainishtui.

Huko tunakokwenda ndio tutaona nani atayefurahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…