FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

P

Point 3 za kishindo kabisa😀😀 ilikua inaelekea 5G as usual tumewaonea huruma😀😀🏃‍♀️
Nilikua nacheki hapa mtangazaji anasema for the first time they get three points

🤣🤣 ana maana gani
 
Hapana mkuu, criteria ya kwanza ni H2H katika mashindano ya CAF.
Siongei kufurahisha genge soma hapo kipengele number 20 chote
IMG_20231220_192218.jpg
 
Ngoja kwanza.

Katika sheria za CAF H2H ya magoli ni kipengele namba 3 sio nne kama hii yako ya uchochoroni inavyoonesha.

Pia idadi ya magoli yote uliyofunga kwa mzunguko ni kigezo cha mwishoni kabisa (namba 5) ikiwa hivyo vigezo tangulizi vimeshindwa kuamua

Kwa hiyo nakuwekea hapa sheria ikusaidie kabla ya kujifanya critic

Iwapo timu mbili zitatoshana idadi ya point basi hivi ndio vigezo vitavyoangaliwa kuamua nani apite nani abaki.

1. Idadi ya point zilizokusanywa baina ya hizo timu mbili zilipokutana

Ufafanuzi

Yanga alifungwa bao 3 na Cr Belarouzidad maana yake mechi hiyo Cr Belarouzidad alipata point 3

Halafu Yanga kama mechi yake na Cr Belarouzidad ya marudio akatoa sare basi hiyo tu itatosha kuamua Cr Belarouzidad apite

2. Utofauti wa goli bora lililofungwa baina ya hizo timu mbili zilipokutana.

Ufafanuzi

Ikitokea Yanga kashinda kwa penati dhidi ya Cr Belarouzidad na kule Algeria kulipatikana goli zuri maana yake safari ya Yanga inaishia hapo.

3. Idadi ya magoli ambayo hizo timu zilipata zikiwa away zilipokutana.

Ufafanuzi

Yani ikiwa Yanga atamfunga 10-1 Cr Belarouzidad basi Yanga atakuwa ameondolewa kwakua hakupata bao lolote ugenini.

Na hata ikitokea kuwa ameshinda kwa clean sheet basi idadi ya mabao itaangaliwa. Kama itaonekana Yanga kashinda goli above 3 atapita lakini below hatopita

Hii ndio sababu watu walikuwa wanajiuliza kwanini Benchika aweke mabeki saba. Sababu ilikuwa ndio hii kuwa Wydad wangepata bao halafu huko mbeleni tungefungana kwa point basi tungekuwa tumetolewa.

4. Ikiwa hayo yote ya juu hayatoamua kupitisha mshindi basi kigezo cha idadi ya magoli yote yaliyofungwa kwa jumla ya mechi zote za makundi kitaamua yupi wa kupita.

Ufafanuzi

Hapa sasa ni baada ya criteria namba 1,2,&3 kushindwa kuamua yani timu zote mbili zilingane kila kitu kwenye hizo criteria (kitu ambacho sio rahisi) ndio hapo kigezo cha kufunga mabao mengi kwa jumla ya mechi zote ndio kitazingatiwa.
Maelezo meengi rubbish tu nmeweka page ya CAF hayo matapu tapu unayatoa wapi?
 
yanga ifike mahali wawe na huruma, wamuache konkon aende tu, manake ni mbovu kuliko wachezaji wa kitanzania wote.
 
Ai
Hata kule kwao walikuwa hivi hivi sema kule walipungua kidogo yani nyumbani kuliwabeba.

Lakini walikuwa wanapigika kulekule kwao.

We unafikiri nini kinachonipa confidence kuwa Yanga havuki makundi?

Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kuwaona Yanga wanafurahi baada ya mechi ya kimataifa

Maana huko mbeleni tunakoelekea kuna tisha ni bora wananchi wafahamishwe mapema wajipange kisaikolojia.
Aisee....ila game zilizobaki ni ngumu mzeya kazi kweli kweli
 
We jamaa ,kigezo cha Goli Bora umekitoa wapi, hebu Weka hiyo kanuni ya Goli Bora
Kwa nn umeruka kipengele cha goal difference
Kumbe Simba kuna wahasibu wengi 🤣🤣🤣
Mkuu kwani hujui au umeuliza kama utani tu?

Goli bora baina ya hizo timu mbili zilipokutana ni kigezo pia

Soma mwenyewe hapa na kama utahitaji link ukaipauke mwenyewe kutoka kwenye site ya CAF niambie
 

Attachments

View attachment 2847959
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC
📆 20.12.2023
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 4:00pm

Mungu Ibariki Tanzania!!
Mungu ibariki Yanga!!


#DaimaMbeleNyumamwiko#

Kikosi cha Yanga kinachoanza.
View attachment 2848149


Kikosi cha Medeama Kinachoanza.
View attachment 2848213

Dakika ya 33'
Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome.
Yanga 1 - 0 Medeama

Half Time:
Yanga 1 - 0 Medeama...

Dakika 61'
Yanga wanapata Goli la pili kupitia kwa Kenedy Musonda/Bakari Nondo

Yanga 2 - 0 Medeama...

Mpira unaendelea.

Dakika ya 66'
Goal kwa Yanga.
Mudathiri anafunga.

Yanga 3 - 0 Medeama

Mpira unaendelea

Dakika ya 90'
Jonathan Sowah anapata Red Card.
Baada ya kumchezea rafu Skudu.

Full Time.
Yanga 3 - 0 Medeama
Yanga itatolewa NUSU FAINALI, Simba itatolewa ROBO FAINALI.
 
Msyuuuu...mbona unanichagulia betting yangu??
Yanga ikimfunga Simba naacha ushabiki..najua hii utaona haina impact kwenu ila kwangu kuacha kushabikia timu yangu itakua maumivu makali mnoo..nakuahidi...
Hiyo haina impact maana ushabiki ni mpaka kufa...so hiyo wala sikubaliani nayo wee njoo na kitu kingine.
Tufanye hivi yanga akimfunga simba wee rasmi unakuwa mke wangu wa jf
 
Mechi ya Al Ahly na Cr Belarouzidad ndio mechi ya maamuzi kwa Cr Belarouzidad.

Akishinda hiyo mechi basi hapo utakuwa umebadilishiwa mpinzani. Mpinzani hatokuwa Cr Belarouzidad tena hapo atakuwa ni Al Ahly.

Na kama tujuavyo sidhani kama Al Ahly ataruhusu kutolewa kwenye makundi.
Kwa hiyo ina maana Wydad yeye alikubali kufungwa..!!😛😛
 
Back
Top Bottom