Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Nilikua nacheki hapa mtangazaji anasema for the first time they get three pointsP
Point 3 za kishindo kabisa😀😀 ilikua inaelekea 5G as usual tumewaonea huruma😀😀🏃♀️
🤣🤣 ana maana gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikua nacheki hapa mtangazaji anasema for the first time they get three pointsP
Point 3 za kishindo kabisa😀😀 ilikua inaelekea 5G as usual tumewaonea huruma😀😀🏃♀️
Siongei kufurahisha genge soma hapo kipengele number 20 choteHapana mkuu, criteria ya kwanza ni H2H katika mashindano ya CAF.
Sawa tutawaona
Maelezo meengi rubbish tu nmeweka page ya CAF hayo matapu tapu unayatoa wapi?Ngoja kwanza.
Katika sheria za CAF H2H ya magoli ni kipengele namba 3 sio nne kama hii yako ya uchochoroni inavyoonesha.
Pia idadi ya magoli yote uliyofunga kwa mzunguko ni kigezo cha mwishoni kabisa (namba 5) ikiwa hivyo vigezo tangulizi vimeshindwa kuamua
Kwa hiyo nakuwekea hapa sheria ikusaidie kabla ya kujifanya critic
Iwapo timu mbili zitatoshana idadi ya point basi hivi ndio vigezo vitavyoangaliwa kuamua nani apite nani abaki.
1. Idadi ya point zilizokusanywa baina ya hizo timu mbili zilipokutana
Ufafanuzi
Yanga alifungwa bao 3 na Cr Belarouzidad maana yake mechi hiyo Cr Belarouzidad alipata point 3
Halafu Yanga kama mechi yake na Cr Belarouzidad ya marudio akatoa sare basi hiyo tu itatosha kuamua Cr Belarouzidad apite
2. Utofauti wa goli bora lililofungwa baina ya hizo timu mbili zilipokutana.
Ufafanuzi
Ikitokea Yanga kashinda kwa penati dhidi ya Cr Belarouzidad na kule Algeria kulipatikana goli zuri maana yake safari ya Yanga inaishia hapo.
3. Idadi ya magoli ambayo hizo timu zilipata zikiwa away zilipokutana.
Ufafanuzi
Yani ikiwa Yanga atamfunga 10-1 Cr Belarouzidad basi Yanga atakuwa ameondolewa kwakua hakupata bao lolote ugenini.
Na hata ikitokea kuwa ameshinda kwa clean sheet basi idadi ya mabao itaangaliwa. Kama itaonekana Yanga kashinda goli above 3 atapita lakini below hatopita
Hii ndio sababu watu walikuwa wanajiuliza kwanini Benchika aweke mabeki saba. Sababu ilikuwa ndio hii kuwa Wydad wangepata bao halafu huko mbeleni tungefungana kwa point basi tungekuwa tumetolewa.
4. Ikiwa hayo yote ya juu hayatoamua kupitisha mshindi basi kigezo cha idadi ya magoli yote yaliyofungwa kwa jumla ya mechi zote za makundi kitaamua yupi wa kupita.
Ufafanuzi
Hapa sasa ni baada ya criteria namba 1,2,&3 kushindwa kuamua yani timu zote mbili zilingane kila kitu kwenye hizo criteria (kitu ambacho sio rahisi) ndio hapo kigezo cha kufunga mabao mengi kwa jumla ya mechi zote ndio kitazingatiwa.
Aisee....ila game zilizobaki ni ngumu mzeya kazi kweli kweliHata kule kwao walikuwa hivi hivi sema kule walipungua kidogo yani nyumbani kuliwabeba.
Lakini walikuwa wanapigika kulekule kwao.
We unafikiri nini kinachonipa confidence kuwa Yanga havuki makundi?
Hii ndio itakuwa mara ya mwisho kuwaona Yanga wanafurahi baada ya mechi ya kimataifa
Maana huko mbeleni tunakoelekea kuna tisha ni bora wananchi wafahamishwe mapema wajipange kisaikolojia.
Bado unajieleza sana kama mjaneUmekna tatizo la Gongowazi??
Hujasoma hata kusoma nilichokiandika
Unajinyima nafasi ya kuwa mtu watatu katika wale wawili wenye akili
Mkuu kwani hujui au umeuliza kama utani tu?We jamaa ,kigezo cha Goli Bora umekitoa wapi, hebu Weka hiyo kanuni ya Goli Bora
Kwa nn umeruka kipengele cha goal difference
Kumbe Simba kuna wahasibu wengi 🤣🤣🤣
Anajieleza sana roho imemuuma sanaMaelezo meengi rubbish tu
Yanga itatolewa NUSU FAINALI, Simba itatolewa ROBO FAINALI.View attachment 2847959
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC
📆 20.12.2023
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 4:00pm
Mungu Ibariki Tanzania!!
Mungu ibariki Yanga!!
#DaimaMbeleNyumamwiko#
Kikosi cha Yanga kinachoanza.
View attachment 2848149
Kikosi cha Medeama Kinachoanza.
View attachment 2848213
Dakika ya 33'
Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome.
Yanga 1 - 0 Medeama
Half Time:
Yanga 1 - 0 Medeama...
Dakika 61'
Yanga wanapata Goli la pili kupitia kwa Kenedy Musonda/Bakari Nondo
Yanga 2 - 0 Medeama...
Mpira unaendelea.
Dakika ya 66'
Goal kwa Yanga.
Mudathiri anafunga.
Yanga 3 - 0 Medeama
Mpira unaendelea
Dakika ya 90'
Jonathan Sowah anapata Red Card.
Baada ya kumchezea rafu Skudu.
Full Time.
Yanga 3 - 0 Medeama
Hiyo haina impact maana ushabiki ni mpaka kufa...so hiyo wala sikubaliani nayo wee njoo na kitu kingine.Msyuuuu...mbona unanichagulia betting yangu??
Yanga ikimfunga Simba naacha ushabiki..najua hii utaona haina impact kwenu ila kwangu kuacha kushabikia timu yangu itakua maumivu makali mnoo..nakuahidi...
Sheria ipo hivyo inaanza H2H kabla hata ya goal difference.Kasome kanuni usikariri mambo
Kwa hiyo ina maana Wydad yeye alikubali kufungwa..!!😛😛Mechi ya Al Ahly na Cr Belarouzidad ndio mechi ya maamuzi kwa Cr Belarouzidad.
Akishinda hiyo mechi basi hapo utakuwa umebadilishiwa mpinzani. Mpinzani hatokuwa Cr Belarouzidad tena hapo atakuwa ni Al Ahly.
Na kama tujuavyo sidhani kama Al Ahly ataruhusu kutolewa kwenye makundi.
Huoneshi bidii ya kutamani kuwa kama Sunday Manara au KikweteBado unajieleza sana kama mjaneView attachment 2848374
Ulichokipost mbona kinashahabiaa na anachosema changaule.Siongei kufurahisha genge soma hapo kipengele number 20 choteView attachment 2848372
Bora uwaambie wewe Gongowazi wenzako prolly watakusikiaSheria ipo hivyo inaanza H2H kabla hata ya goal difference.View attachment 2848376
Acha kujieleza kaka embu chukua hiyooHuoneshi bidii ya kutamani kuwa kama Sunday Manara au Kikwete
Nilikuwa namuita Musonda nothing kumbe nilikuwa bado sijakutana na nothing yenyeweSiongei kufurahisha genge soma hapo kipengele number 20 choteView attachment 2848372
Huoneshi bidii ya kutamani kuwa kama Sunday Manara au Kikwete
Sisi ni bora kwa sababu tulimfunga ihefu au umesahauUnajieleza sana embu tulia wewe na madeama nani ni Bora View attachment 2848370