Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

Na huu ni upumbavu wa watanzania wengi, wanashabikia Ile vita wakati inatuathiri mno sisi,ukimuuliza kisa cha chapati kupanda bei hajui ila kajaa ushabiki wa kivita
 
Duniani kuna Nuclear Warheads 13,080 na nchi ni nyingi ambazo zina nuclear
Sasa kila mmoja akituma yake hakuna atakaebaki
Wanasema viumbe wote hadi mimea tutakufa isipokuwa Mende tu
Doomsday labda yaja.
Hapo ndipo utajua kuwa ilikuwa ni wehu kuwaambia Iran na North Korea wasitengeneze mabomu ya nuclear huku wenye nayo wanatishia wenzao kuyatumia. Kama vipi na wao wayateketeze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…