Full Time: AL Hilal 0-1 Young Africans | CAF Champions League | Stade de la Capitale | 12/1/2025

Nimeangalia mechi nyingi za cafcl kwa Yanga hii iliyojipata ikishinda group stage mostly mechi ya Leo basi final hii hapa
Ni Ahly pekee ndio team itakayotusumbua
Mwaka huu ndio ulikua mwaka wa kuweka historia ya kubeba au kufika hata fainali, lakini gemu 2 za mwanzo zimeleta kigingi, tuombe Mungu tutoboe kwenye hili group.
 
Timu kubwa,taifa kubwa,mashindano makubwa na uhitaji wa matokeo ni mkubwa,mipango mikubwa,wachezaji wakubwa,mchezo ni mkubwa,matokeo ni moja tu YANGA AFUNGE,AU AL HILAL APIGWE. KILA LENYE KHERI YOUNG AFRICANS SC. FT 0 3
Na sindano ni kubwa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…