Correspondence
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 310
- 313
Kweli nyuma mwikoNimesikia msemaji wa Simba amelia kwa firaha baadaya kufuzu nusu fainal ya kombe la kina Mama
Sasa najiuliza siku Simba wakifika fainal kama Yanga hali itakuaje!!
Namuona Mangungu akimwaga Machozi ya kutosha., Kwa hakika Yanga ni kipimo cha Soka la Kimataifa jwa apa Tanzania.
Unavyo sisi ni wakuwahonga Azam kweli ??Utopolo FC aka Hongahonga FC
Wewe ukimbie then umtegemee Azam akushindie match?Lambalamba hovyo tu...
Yanga bingwaaaaa 💚💚💚💚💚💛🖤💪
Mbaya sana hiiPacome nje
Dah ,wameamua kupunguza aibu ya Leo,wangekula goli nyingi HawaHawa wajinga wanatuvunjia wachezaj wetu
Kumbe kuna mabonanza yanaendelea huku
awe ana assist tuDube ana bahati mbaya na goli
Akili hiyo hana. uyo koloHili bonanza ndio linaloibeba simba kucheza shirikisho
Halafu ndio ilivyo hii mijibwa kila tunavyocheza naoHawa wajinga wanatuvunjia wachezaj wetu
Shemeji wewe mbele kuna nini?Lolote baya liwapate Nyuma Kuna Mwiko