Sasa kama lile kombe ni kikombe cha kahawa je zile medali ambazo watu walitamba nazo hadi ikulu tuziiteje, kwahiyo al masry ni wabovu kuliko mc alger na wale vibonde kina rivers na marumo, ninyi mlivamia hayo mashindano ya wanaume ndio maana mkaishia makundi wanaume wakaenda roboUsifananishe vitu wewe,,kikombe cha kahawa usiwe unalinganisha na waliokuwa kwenye ligi ya wanaume,,Pengine ubora wa Al masry umeuona wewe peke yako kwamba ni timu Bora ya kuifunga mpaka ukalia🤔🤔
Ametusikitisha Sana huyo jamaa.Nimesikia msemaji wa Simba amelia kwa firaha baadaya kufuzu nusu fainal ya kombe la kina Mama
Sasa najiuliza siku Simba wakifika fainal kama Yanga hali itakuaje!!
Namuona Mangungu akimwaga Machozi ya kutosha., Kwa hakika Yanga ni kipimo cha Soka la Kimataifa jwa apa Tanzania.
kaka kwani wewe hujui hesabu? Yaani kujua kilichotukimbiza tar 8 kimahesabu si ni kanuni ndogo tu ya 'kulosi malitipulikasheni!' (hahahaa ngoja ncheke kidogo). Yaani unafanya hivi, IKIWA TAR 5 ZILIKUWA GOLI 5, JE TAR 8 ZITAKUWA GOLI NGAPI? Haya malizia hapo na usitusemange tena. Kanuni 8×5 jibu gawa kwa 5.Ndio wale wale waliokula 5 kisha tarehe 8 kukimbia mechi
Wale wenzetu wanawaza mashindano ya kimataifa panapompa mpunga mrefu na kujitangaza sokoni.Ndio wale wale waliokula 5 kisha tarehe 8 kukimbia mechi
Kwa akili ndogo tu ata ya kuvukia Barabara unamlinganisha Mc alger na Al masry kweli? Al masry Hawa Hawa tuliowaona au Kuna wengine?Sasa kama lile kombe ni kikombe cha kahawa je zile medali ambazo watu walitamba nazo hadi ikulu tuziiteje, kwahiyo al masry ni wabovu kuliko mc alger na wale vibonde kina rivers na marumo, ninyi mlivamia hayo mashindano ya wanaume ndio maana mkaishia makundi wanaume wakaenda robo
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.Wale wenzetu wanawaza mashindano ya kimataifa panapompa mpunga mrefu na kujitangaza sokoni.
Sasahivi wapo nafasi ya 4 kwa ubora bara zima la Afrika.
Sisi uto wakamia mechi hata top 10 hatumo ngoja tuendelee tu kukamia vimechi vya ligi ya ndani.
Mwaka gani?Azam wakifufuka watawatahiri yanga.
Mnajifariji sana tuWale wenzetu wanawaza mashindano ya kimataifa panapompa mpunga mrefu na kujitangaza sokoni.
Sasahivi wapo nafasi ya 4 kwa ubora bara zima la Afrika.
Sisi uto wakamia mechi hata top 10 hatumo ngoja tuendelee tu kukamia vimechi vya ligi ya ndani.
Baya haliwezi kuwapata kwasababu hamjui kama wanamechi Leo.Lolote baya liwapate Nyuma Kuna Mwiko
Bandia hiyo ila ya kiwangoHii pich ya Azam ni asili au bandia?