Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
 
Kuna wengine hawataki kusikia hiki ulicho kiongea.
Ukitizama boli kishabiki shabiki utakufa kwa presha, lazima tuukubali uhalisia.

Kuna mpira mmoja, zimbwe aliOVERLAP kwa spidi kali, halafu yeye akaupoza kisha akampasia mutale mpira ambao ushakufa sio wa kushambulia tena ni wa kuPOSSESS
 
Sub hii sijaipenda, nilitaka nione pacha ya ngoma na debora.. Mie bado naamini ngoma ni mchezaji mzuri anastahiki kucheza.
Ngoma?!!! Nimeamini mashabiki wa simba ni mbumbumbu nami nikiwa mmoja wao.
Hakika aliyeturoga alishakufa
 
Skills are not the same!!
Ila unaweza kujifunza wanachofanya wale walio bora zaidi...mchezaji wa mguu wa kushoto akiingia kwenye 18 yards ana uwezo mkubwa sana wa kufunga akiwa anajielewa
 
Wachezaji wetu, hii nafasi ya balua ilikuwa ni aida apige golini kabisa au afinye ampasie mtu anaetokea nje ya box, sababu ile pasi haikuwa na msingi wachezaji wa coastal zaidi ya wa3 walimuwa kwenye line moja, ngumu sana mpira kumpita.

Feisal juzi kafunga kwenye nafasi kama hii
 
Ila unaweza kujifunza wanachofanya wale walio bora zaidi...mchezaji wa mguu wa kushoto akiingia kwenye 18 yards ana uwezo mkubwa sana wa kufunga akiwa anajielewa
Nakubaliana na wewe
Imetokea tena hapa Kijili na Mutale, the same mistake!!
 
Alichofanya kijili ndio angefanya balua, japo kijilj kalibutua juu lakini lile ndio jambo alipaswa kufanya pale.
 
Back
Top Bottom