mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udambwi udambwi...Huyu kipa, ipo siku atafungisha, ile moja aliyoweka kifuani ilikuwa inatosha angebutua mbele ile kanzu haikuhitajika.
Kweli kabisaHata Kijili yupo kwenye harakati za Pimbi,anahangaika kutoa mpira nyuma akifika phase muhimu ya mwisho kutoa assist inakuwa work done zero.
Ukitizama boli kishabiki shabiki utakufa kwa presha, lazima tuukubali uhalisia.Kuna wengine hawataki kusikia hiki ulicho kiongea.
Skills are not the same!!Ubani wa shabalala umeisha nguvu sasa, Valentin Nouma
Hivi hawa kina balua hawaangalii kina Mo salah wanapofika kwenye box wanafanya nini?
Yes, mutale hayuko sawa.Naona kama kocha hajaelewana nae.
Hata leo Mutale anatakiwa atoke.
He is losing balls.
Ngoma?!!! Nimeamini mashabiki wa simba ni mbumbumbu nami nikiwa mmoja wao.Sub hii sijaipenda, nilitaka nione pacha ya ngoma na debora.. Mie bado naamini ngoma ni mchezaji mzuri anastahiki kucheza.
Huyu aliyepanga huu muda anachuki binafsi na simba.Watoto wa shirikisho wanacheza juani πππ Coastal union chama langu
Hua najiuliza hua hawaangalii mpira .Ubani wa shabalala umeisha nguvu sasa, Valentin Nouma
Hivi hawa kina balua hawaangalii kina Mo salah wanapofika kwenye box wanafanya nini?
Ila unaweza kujifunza wanachofanya wale walio bora zaidi...mchezaji wa mguu wa kushoto akiingia kwenye 18 yards ana uwezo mkubwa sana wa kufunga akiwa anajielewaSkills are not the same!!
Kwani mechi imeisha?Vp na leo mmeridhika na timu yenu Kolo FC?
Nakubaliana na weweIla unaweza kujifunza wanachofanya wale walio bora zaidi...mchezaji wa mguu wa kushoto akiingia kwenye 18 yards ana uwezo mkubwa sana wa kufunga akiwa anajielewa
Mutale ni mchezaji wa kawaida sana, hata kaseke kwenye ubora wake kamzidi mutaleYes, mutale hayuko sawa.
Amia Yanga mkuu.Ngoma?!!! Nimeamini mashabiki wa simba ni mbumbumbu nami nikiwa mmoja wao.
Hakika aliyeturoga alishakufa