katibampya_
New Member
- Feb 6, 2025
- 2
- 2
Na refa kawapambania ila hambebekiTumefanya kila kitu kwenye hii mechi
Na ukijumlisha na ile kauli yake ya kusema anamkubali zaidi Max Nzengeli! Lazima mbumbumbu watamtengenezea tu zengwe!Kwa mpira wa bongo Chasambi hachezi tena Simba
aisee chasambi kapiga shuti kama lile la kengold janaKama uongozi hauwezi kumalizana na hawa wachezaji wanaoturidisha nyuma inabidi mashabiki tuwe tunamalizana nao huku mtaani au hawa kuwazomea. Ile sio bahati mbaya kabisa
Ujinga tuNa ukijumlisha na ile kauli yake ya kusema anamkubali zaidi Max Nzengeli! Lazima mbumbumbu watamtengenezea tu zengwe!
Kumbe makosa ya aina hiyo, hata wachezaji wa ulaya huwa wanayafanya, na bado maisha yanaendelea.
Kama uongozi hauwezi kumalizana na hawa wachezaji wanaoturidisha nyuma inabidi mashabiki tuwe tunamalizana nao huku mtaani au hawa kuwazomea. Ile sio bahati mbaya kabisa
Haah
Nilikua na kuheshimu kumbe bilaHaah
Mnara wa mwamba ujengwe wapi? Msimbazi au Jangwani? 😁Kama uongozi hauwezi kumalizana na hawa wachezaji wanaoturidisha nyuma inabidi mashabiki tuwe tunamalizana nao huku mtaani au hawa kuwazomea. Ile sio bahati mbaya kabisa
PoleNilikua na kuheshimu kumbe bila
Kwa lipi ?Pole
Utakuwa lini Musoma?Nipo miji mitano wiki hii na ijayo: Dar, Mwanza, Musoma, Bariadi na Dodoma. Hiyo mbege mnainywea wapi? Naomba nikaribishwe pulizi!
Angalizo: Mimi siyo furushi! 💪
Kushona sare ya vitambaa 😀😀Kwa lipi ?