Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

Mama Boko. anawaita elhilal umdumange๐Ÿ˜‚. Bado kuna shabiki WA Yanga atadai wataingia robo fainali๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Al Hilal wana points 9
Mc Alger point 4.

Mc Alger akimfunga Mazembe kwake atakuwa na points 7,Yanga akimfunga Mazembe kwa Mkapa atakuwa na point 4.
Ila mechi za Al Hilal zilizobaki ndo itaamua amhurumie Yanga au Mc Alger
 
Na ukumbuke kuwa Al Hilal kufuzu peke yake sio kitu pekee kitachomtosha asiweze kukaza mechi zingine.

Kumbuka timu inayomaliza on top kwenye group ndio ambayo itapata unafuu kwenye draw ya robo kwa kupangiwa na vibonde.
 
Aisee ile ya mchana ilikuwa siyo mechi hata timu za kwenye ligi yetu kina Dodoma Jiji hawachezi vile,ile ni takataka ongezea na kamera mbovu ya Azam.
Acha ujuaji wakati mbele giza azam wanapokea tu matangazo siyo camera zao usiwe unaongea pumba mbele za watu utachekwa
 
๐—ช๐—ฎ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ ๐—ต๐—ถ๐˜ƒ๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ[emoji23]
 
Dakika 6 zimeongezwa
 
Na ukumbuke kuwa Al Hilal kufuzu peke yake sio kitu pekee kitachomtosha asiweze kukaza mechi zingine.

Kumbuka timu inayomaliza on top kwenye group ndio ambayo itapata unafuu kwenye draw ya robo kwa kupangiwa na vibonde.
Kuna vibonde na vibonde zaidi.Yaani timu inacheza mechi 3 ina pointi 1?Halafu ngebe nyingi.
 
Mbona kama ataweka nguvu kwenye mechi ya marudiano na Mc Alger kwao maana ndo ya kufuzu na hamna atakayemkuta,maana ndo watarudiana kabla ya Yanga na Mazembe ,hiyo haitampa unafuu Yanga kwamba anaweza asimkazie maana atakuwa ashafuzu?
 
Kuna vibonde na vibonde zaidi.Yaani timu inacheza mechi 3 ina pointi 1?Halafu ngebe nyingi.
Ni vibonde kuliko 5imba inayoshiriki mashindano yenu ya akina mama
 
Kuna vibonde na vibonde zaidi.Yaani timu inacheza mechi 3 ina pointi 1?Halafu ngebe nyingi.
Halafu wanafurahia MC Algier kupoteza mechi wakati mwenzake ana 4 yeye ana 1
 
๐—ฆ๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—ก๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—”๐—น ๐—›๐—ถ๐—น๐—ฎ๐—น ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—ณ๐˜‚ ๐—ฑ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ 6 ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐˜„๐—ฎ [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ