Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

Mama Boko. anawaita elhilal umdumange😂. Bado kuna shabiki WA Yanga atadai wataingia robo fainali🤣🤣
Al Hilal wana points 9
Mc Alger point 4.

Mc Alger akimfunga Mazembe kwake atakuwa na points 7,Yanga akimfunga Mazembe kwa Mkapa atakuwa na point 4.
Ila mechi za Al Hilal zilizobaki ndo itaamua amhurumie Yanga au Mc Alger
 
Na ukumbuke kuwa Al Hilal kufuzu peke yake sio kitu pekee kitachomtosha asiweze kukaza mechi zingine.

Kumbuka timu inayomaliza on top kwenye group ndio ambayo itapata unafuu kwenye draw ya robo kwa kupangiwa na vibonde.
 
𝗪𝗮𝗮𝗿𝗮𝗯𝘂 𝘄𝗮𝗸𝗶𝗳𝘂𝗻𝗴𝘄𝗮 𝗻𝗮 𝘄𝗮𝗸𝗶𝗽𝗼𝘁𝗲𝘇𝗲𝘄𝗮 𝗺𝘂𝗱𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗸𝘂𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗸𝗮𝗹𝗶 𝗵𝗶𝘃𝗶 𝗸𝘂𝗺𝗯𝗲[emoji23]
 
Na ukumbuke kuwa Al Hilal kufuzu peke yake sio kitu pekee kitachomtosha asiweze kukaza mechi zingine.

Kumbuka timu inayomaliza on top kwenye group ndio ambayo itapata unafuu kwenye draw ya robo kwa kupangiwa na vibonde.
Kuna vibonde na vibonde zaidi.Yaani timu inacheza mechi 3 ina pointi 1?Halafu ngebe nyingi.
 
Mbona kama ataweka nguvu kwenye mechi ya marudiano na Mc Alger kwao maana ndo ya kufuzu na hamna atakayemkuta,maana ndo watarudiana kabla ya Yanga na Mazembe ,hiyo haitampa unafuu Yanga kwamba anaweza asimkazie maana atakuwa ashafuzu?
 
Kuna vibonde na vibonde zaidi.Yaani timu inacheza mechi 3 ina pointi 1?Halafu ngebe nyingi.
Ni vibonde kuliko 5imba inayoshiriki mashindano yenu ya akina mama
 
Kuna vibonde na vibonde zaidi.Yaani timu inacheza mechi 3 ina pointi 1?Halafu ngebe nyingi.
Halafu wanafurahia MC Algier kupoteza mechi wakati mwenzake ana 4 yeye ana 1
 
𝗦𝗮𝗸𝗼 𝗹𝗮 𝗡𝘆𝗮𝗻𝗶 𝗔𝗹 𝗛𝗶𝗹𝗮𝗹 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗽𝗶𝗴𝘄𝗮 𝗵𝗮𝗹𝗮𝗳𝘂 𝗱𝗮𝗸𝗶𝗸𝗮 6 𝘇𝗶𝗺𝗲𝗼𝗻𝗴𝗲𝘇𝘄𝗮 [emoji1787]
 
Back
Top Bottom