moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Madrid unalinganisha na Yanga!!?Huu ni mpira
Madrid anaanzaga UEFA anachechemea lakini mwisho ndo anakuwa bingwa
Subiri mechi zimalizike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madrid unalinganisha na Yanga!!?Huu ni mpira
Madrid anaanzaga UEFA anachechemea lakini mwisho ndo anakuwa bingwa
Subiri mechi zimalizike
Wa point 1 ndo ataifurahiaSiyo wa point 1 lakini
Yanga ni timu ya footballMadrid unalinganisha na Yanga!!?
Al Hilal wana points 9Mama Boko. anawaita elhilal umdumange😂. Bado kuna shabiki WA Yanga atadai wataingia robo fainali🤣🤣
Akiwa hajui kinachoendeleaWa point 1 ndo ataifurahia
Na ukumbuke kuwa Al Hilal kufuzu peke yake sio kitu pekee kitachomtosha asiweze kukaza mechi zingine.Al Hilal wana points 9
Mc Alger point 4.
Mc Alger akimfunga Mazembe kwake atakuwa na points 7,Yanga akimfunga Mazembe kwa Mkapa atakuwa na point 4.
Ila mechi za Al Hilal zilizobaki ndo itaamua amhurumie Yanga au Mc Alger
Acha ujuaji wakati mbele giza azam wanapokea tu matangazo siyo camera zao usiwe unaongea pumba mbele za watu utachekwaAisee ile ya mchana ilikuwa siyo mechi hata timu za kwenye ligi yetu kina Dodoma Jiji hawachezi vile,ile ni takataka ongezea na kamera mbovu ya Azam.
Kuna vibonde na vibonde zaidi.Yaani timu inacheza mechi 3 ina pointi 1?Halafu ngebe nyingi.Na ukumbuke kuwa Al Hilal kufuzu peke yake sio kitu pekee kitachomtosha asiweze kukaza mechi zingine.
Kumbuka timu inayomaliza on top kwenye group ndio ambayo itapata unafuu kwenye draw ya robo kwa kupangiwa na vibonde.
Nani Yuko nyumbani?Dakika 6 zimeongezwa
Mbona kama ataweka nguvu kwenye mechi ya marudiano na Mc Alger kwao maana ndo ya kufuzu na hamna atakayemkuta,maana ndo watarudiana kabla ya Yanga na Mazembe ,hiyo haitampa unafuu Yanga kwamba anaweza asimkazie maana atakuwa ashafuzu?Na ukumbuke kuwa Al Hilal kufuzu peke yake sio kitu pekee kitachomtosha asiweze kukaza mechi zingine.
Kumbuka timu inayomaliza on top kwenye group ndio ambayo itapata unafuu kwenye draw ya robo kwa kupangiwa na vibonde.
Ni vibonde kuliko 5imba inayoshiriki mashindano yenu ya akina mamaKuna vibonde na vibonde zaidi.Yaani timu inacheza mechi 3 ina pointi 1?Halafu ngebe nyingi.
Mc AlgerNani Yuko nyumbani?
Sasa mkuu mbona kila matokeo yanapobadilika unaanza kuwa na hasira na kutoa maneno ya kashfa,mbona hapo awali tulikuwa tunaenda vizuriNi vibonde kuliko 5imba inayoshiriki mashindano yenu ya akina mama