Full time: Morocco 2-0 Tanzania | FIFA World Cup Qualification | Stade Municipal d’ Oujda | 26.03.2025

Mpaka saizi Morroco tumeweza kuwa dhibiti na washa panic

Hawakutegemea kuona tutashikilia bomba kwa umbali huu.
 
Kazi nzuri wamefanya

Wakiongeza upambanaji hatufungwi hii mechi.

Tukipata nafasi ya counter attack tukawafunga naimani hilo goli haliwezi kurudi kutokana na nidhamu ya ulinzi waliyoionesha
 
Haya acheni mambo ya ksng nijibuni swali langu. Ishu ya Congo itatatuliwa vipi?
 
Kazi nzuri wamefanya

Wakiongeza upambanaji hatufungwi hii mechi.

Tukipata nafasi ya counter attack tukawafunga naimani hilo goli haliwezi kurudi kutokana na nidhamu ya ulinzi waliyoionesha
Stars kwa kulipaki hawajambo
 
Tanzania wanajilinda tu hakuna wanachofanya ni kama wanapunguza idadi ya magoli. Morocco 2nd half inaingia ikiwa na tamaa ya kuwagongomelea misumali ya nchi 6.

Nawatakia ushindi mwema wana Morocco nlikuwa huko kwenu miezi miwili iliyopita mlinipati demu mkali sana Salma siwezi msahau.

Wachapeni hao.....Tanzania bao 2 tu zinatosha warudi nchini kwao waka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…