Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

Daah, Mayele huraaayyy......

Masandawana sitakuja kuyapenda Mbwa wale labda wacheze na Simba...!!
 
Hizi Simba na Yanga wajue mpira unahitaji fedha ili uwe na timu imara pamoja na miundombinu bora.

PSG, Pyramids, Man City, Chelsea. Hii ni mifano tu ya timu zilizowekeza.
 
Pyramid umemzidi Robo fainali, CAF ranking, Uwekezaji ila ni bingwa WA CAF champion league Una kipi chakusema maana Ni hoja zako Sana
 
Hizi Simba na Yanga wajue mpira unahitaji fedha ili uwe na timu imara pamoja na miundombinu bora.

PSG, Pyramids, Man City, Chelsea. Hii ni mifano tu ya timu zilizowekeza.
True True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…