Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

Mambo yakijaga kwenye simba na yanga kuna mbongo mnaziweka kando.
Hiki unachokisema hata wewe umekifanya hapa kama huyo mwenzio niliyetoka kumjibu uzuri mimi huwa najadili mpira kwa hoja na takwimu na siyo kwa ushabiki na mihemko, kuna mtu alisema eti simba msimu huu imecheza na timu mbovu cafcc tofauti na yanga iliyocheza na timu bora na mabingwa wa ligi zao, nikamuambia aweke takwimu za timu walizocheza na yanga kwa huo msimu nami nimuwekee takwimu za timu walizocheza na simba kwa msimu huu akaingia mitini hadi leo hajanijibu, huko cafcl simba imeshacheza na timu ngumu na zilizowahi kuchukua hilo kombe na bado hawajaishia makundi ila yanga msimu huu wametolewa makundi na timu ambazo hazijawahi kuchukua hilo kombe, na wala hazina uzoefu wa hiyo michuano na ukitaka kujua jinsi gani wale jamaa mliocheza nao walikuwa vibonde wote wawili hawajafika mbali wameishia robo fainali tu
 
Kwani nyie si ndo wa kwanza kusema kuwa Kombe la shirikisho ni kombe la kuku! mbona makamasi sasa?
 
Mimi mwanzo nilitamani mamelodi washinde sababu nilidhani pyramids wakishinda, watatushusha simba kwenye caf ranking ila baada ya kujua kwamba hata pyramids wakishinda, hawawezi kutushusha kwenye hiyo nafasi yetu basi sina wasiwasi yeyote ashinde tu
Na sioni mamelodi atashinda hii match.
 
Mhh hii red na faulo,Pyramid wanaweza kucheza pungufu.
 
Ni wapi nimesema usm alger walicheza fainali ya kwanza na yanga nimesema kombe lao la kwanza la cafcc walilichukulia kwa yanga hawakuwahi kuchukua hapo kabla, hapo kwenye mashabiki kuijaza timu ionekane ya moto nafikiri umeongea kinyume mashabiki wa yanga ndio wenye tabia hiyo, na mafanikio yenu makubwa huwa ni kuwafunga simba na kufikia rekodi za simba tu mkiulizwa kimataifa mmefanya nini na mko nafasi ya ngapi kwenye caf ranking mnaanza kuleta matusi na makasiriko tu
 
Sawa.
 
Jiraniii MAYELE umemsikiaaa hukooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…