Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

Mwaga moto πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ kwa Senegal πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³πŸ‡ΈπŸ‡³
 
Vimeshachoka vinafika golini vina paparika wenzao ndio wameamka tutarajie kufungwa magoli mengine 3
 
Lakini leo naona madogo wamekuwa na ubinafsi sana...hawaachii pasi mapema...sijui shida nn
, Ni kweli. Bila ubinafsi tungekuwa na goli kama tatu hivi!! Isije ikawa kila mfungaji wa goli ameahidiwa kitu fulani vile!!
 
🀣🀣 wanaleta Siasa ktk mambo ya Michezo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…