njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
Sitaki shida mimi timu sio kabila unahama tuSubiri mfungwe uamie Namungo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki shida mimi timu sio kabila unahama tuSubiri mfungwe uamie Namungo
Subiri hapo hapo kwa msaada wa MachelaLeo Debora anacheza ujinga tu humo ndani, ukabaji zero plus kila pasi anapoteza.
Leo Simba Sc hakuna cha afadhali.
Aisee naskia hivyo hata mimiGoli la Simba linashambuliwa vibaya sana
Kwan simba wanasubiri nini kuongeza bao la pili? Hakika kwa mkapa siku hizi kugumu🤔🤔Mzamiru Yassin ndani, nje anaenda Chasambi Ladaki
Dakika ya 87
Bado matokeo ni 1-0
la tobo au?Subiri mfungwe
Muda hata hauendiMzamiru Yassin ndani, nje anaenda Chasambi Ladaki
Dakika ya 87
Bado matokeo ni 1-0
PamojaHuna baya mtani wa jadi. Unatuletea updates za mchezo. Asante sana.
Usirudie kukalia ugoroPenaaaaaaati
MabululuSitaki shida mimi timu sio kabila unahama tu
Sianzishianzisha team yako nawe uwe unapanga unavyojisikia.
Hoja yako Ina ukweli 90%.Leo Simba Sc hakuna cha afadhali.
Comment kama hii unajua tu ni shabiki wa Utopolo.Bravo wanacheza mpira unawaona kabisa sio Simba
GoolallHaishindikani kuwa draw hii.
basi acha kulia lia dogoSianzishi
Watu tunashukuru hata hilo moja wewe unazungumzia la pili!?Kwan simba wanasubiri nini kuongeza bao la pili? Hakika kwa mkapa siku hizi kugumu🤔🤔
Hawana makali...Kwan simba wanasubiri nini kuongeza bao la pili? Hakika kwa mkapa siku hizi kugumu🤔🤔