Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Simba hatashinda Angola,wajipange.Hii timu si mbovu kama wanavyofikiria
Ni bonge moja la timu huko Angola Simba anaenda kufa vibaya hii timu inacheza sio mchezo kuna wapuuzi watasemaje wamedungwa Sindano hahaha
 
Tofauti na matarajio ya wengi (ikiwemo mimi) FC Bravos wamejitahidi kupunguza makali ya Simba, walicheza kwa nidhamu kuwaheshimu Simba, baadhi ya wachezaji wa Simba wameshindwa kutumia Nafasi walizopata
Nafasi zipi wakati mipira yao yote ilikua inakufakufa tu haiendi popote
 
Zaidi ya goli la penalty akuna cha maana mlichofanya,,licha ya kukutana na Majimaji ya Angola bado mmeonyesha udhaifu mkubwa,,tutakuja kuwaeleza udhaifu wenu siku nyingine adui usimwonyeshe siraha atakudhuru!
Pumbavu kweli , mnashindwa kueleza ama kujadili maudhaifu yenu ya kufungwa goli 2 na uongoz wenu , mnapoteza muda na simba, mamaeh endeleeni mkija kushtuka ligi zimeisha na hakuna la maaana mlichofanya...
 
Back
Top Bottom