Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,391
- 3,373
Fafanua kaibebaje Simba?Refa kajionyesha kabisa anavyowabeba
Atoke aje mtu atakayeweza kuboresha mpira wetu siyo upuuzi huu tunaouona kila siku kama kashindwa kusimamia ligi atoke tu upuuziNi kweli kawatengea Yanga point 24 za bure yaani Yanga kabla ya kuanza msimu ana pointi 24 kibindoni ni kweli Karia hafai kabisa😅😅😅
Wala refa hana kosa.Ujinga mfanye nyinyi lawama mpeleke kwa refa.
Onyesha kosa la refa ni nini
Umeangalia mpira?Fafanua kaibebaje Simba?
Unataka wasipewe kisa ni Simba?
Onyesha makosa ya refa badala ya kuonyesha utopolo wakoHuu ni mpira au ushuzi?
Deal doneAibu timu iliyoingia Fainali kubutuliwa na Mashujaa kwahiyo inafanyika kila mbinu ili wapate la 2 kufuta aibu.
African giants lazima ilindwe sio unaleta ujinga ujingaSimba timu kubwa 🦁 🦁
Huwa zenu mnakataaMechi za simba karibia zote zina penalty na red cards
Mtasubiri sana kusubiri anguko la simba.Subirini mkono morocco
Dakika 19 zimeongezwa kwa Simba peke yao?Sijaangalia wala kusikiliza ila kwa ninachosikia kwa kelele huko nje, kwamba dakika 19 zimeingezwa basi Hongeleni kwa kubebwa.
Hadi shabiki wenyewe wa simba wanakaa kimya kikuu kwamba hapa 'tumebebwa asee!'
EwaaahRefa amefuata maelekezo yote kabisa.
Hiyo ni kwasababu timu zinaahidiwa mamilioni na GSM wakipata matokeo dhidi ya Simba wanaishia kukamia na hayo kutokea.Mechi za simba karibia zote zina penalty na red cards
Ya derby haiwezi kuchezeshwa na Kayoko wenu huyo.Tutanunua Hadi za derby na mechi hio tutawafanyia.ukatili.mkubwa sana Hadi mtoe machozi ya damu ...
Berkene ndio timu Gani?Ungese mtupu, hii ndio timu tunatarajia imfunge Berkene, labda wamfunge hapa JF.