Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Tuzomee uoneWaliopo uwanjani wawazomee hao Makolo wizard hadi yaone aibu ZAIDI
Wewe unaonaje ile sio penati? Ile sio faulo?Kibendera ndio kachoma pale, hata wachezaji walivyomuatak refarii akawaelekeza wakamlalamikie kibendera.
Ila wamama mngetuachia mchezo wetu sisi wababa, mbona sisi hatuwaingilii kwenye mchezo wenu wa rede???
chamsingi simba ashinde mengine tukutane vijiweniSisi makolo tunabebwa hadi tunaona aibu wenyewe!!
Umesahau kuwa watu walisha declare hawana tena imani na hiyo BodiUmesahau kwamba Bodi ya LIGI ndiyo inayopanga mwamuzi. Msianze kuilalamikia tena mpaka CAS
Amna mzee wangu.Wewee sio Simba ni pandikizi...Rudi utopoloni.
kwa ufala ule wa machimpanzee unategemea nini walitakiwa 20 kabisa wanajifanya waarabuUnaongoze dk 15 seriously 😀😀
Kwani nin kimetokea?mambo ya aibu sana haya.
Waamuzi wafanyiwe tathmini na siyo kuonyesha ushabiki uwanjani, it stupid hata kuangalia mpira wa tz ni kama maigizoUlitakaje? Mashujaa ashinde?
Subiria mwakani
Tuliza bing nyash kwanza.Berkene ndio timu Gani?
Tuliza taqo.Acha kulialia we chura, tulia dawa iingie.
tumebebeka hatujawaangushaMmebebwa
Wapi Kwa Sasa serikali imewekeza Kwenye mpira na huo uwekezaji haukuwepo kipindi cha Malinzi?Ujinga mtupu mazingira ya sasa ya mpira yanambeba, sasa hivi serikali imewekeza kwenye michezo, mpira sasahivi unalipa siyo kama zamani, maendeleo ya technology ni makubwa, lakini mpira kauharibu, akija mtu makini tutafika mbali sana kwa uwekezaji huu
refa alikuwa smart sana na kazi yakeUjinga mfanye nyinyi lawama mpeleke kwa refa.
Onyesha kosa la refa ni nini
GSMKaria ajiuzulu tu upuuzi anaharibu mpira wetu
Tuta lipi? Maana moja ni hand to ball na nyingine ni Kapombe kuangushwa? Humu kuna mijinga hata mpira haijaonaWala refa hana kosa.
Alimwambia Mpanzu jiangushee niwape tuta chapu hapo.
Na Ikawa.
SIMBA bingwa ndani na kimataifaHatimae tumeshinda.
Wewe umetoka mechi kubwa ya kuingia fainali umetumia nguvu nishati kubwa unategemea kuja kucheza kwenye kiwango chako ndani ya siku 2 ? Halafu unacheza na timu ambayo kwanza nje ya uwanja Ina mashinikizo ya mambo mengi kuikamia Simba..waahidiwe pesa, hapo wnapambana wasishuke daraja, unategemea nini, nakubaliana na wewe upande wa mshambuliaji tu..hakuna mshambuliaji ila usiseme eti Simba Haina uwezo...acha dharau, ingia kwenye 18 za Simba ndio utajua..chukulia tungekua na mtu kama mayele ..Hawa mbwa leo wangekula goli 10 ..tunatakiwa kua na mshambuliaji katili tu pale mbeleAmna mzee wangu.
Tunasimama na ukweli hatuna uwezo tu kiri.