Simba hajashinda mechi ya ligi tangu 2023, sasa c Ilitakiwa awe ameshuka daraja au?Ikiwa imebaki saa 1 dk30 kupigwa derby,tambua kuwa Simba anaingia akiwa hajashinda mechi yeyote ya ligi tangu Nov.2023 pia unakuwa mchezo wake wa 9 akiwa hajafanikiwa kuifunga Yanga ndani ya dk 90. Hivyo ukweli ni kwamba Simba wanapresha zaidi kuliko Yanga kifupi hawana furaha.
Bwashe wewe ndio ulikua umevaa lika ptula la Chelsea?Oyaaa mmeniona nimeshuka kwenye gari na wachezaji wa yanga leo tunashinda hii game
πππSimba hajashinda mechi ya ligi tangu 2023, sasa c Ilitakiwa awe ameshuka daraja au?
DahπππBwashe wewe ndio ulikua umevaa lika ptula la Chelsea?
Hongera mwanetuDahπππView attachment 3583384
Kabisa bwashee , nimepata kichaka cha kunywa bia kwa amaniMan U tunaua mtu!
Huku Tz Yanga tunazika.
ππππAnamsaidia mashirima , kukama masamvu bwashee
Mapema san subirin kidgYanga wamekalia msumari