Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Kitendo cha guinea kutaka sare kimewaua na nnadhani waliichukulia poa sana Tanzania especially tulivyopigwa nje ndani na congo.
 
Siyo mchambuzi wa mpira,lakini kitendo cha kumuacha mechi zilizotangulia Simoni Msuva kinaonyesha ni jinsi gani Makocha wetu wasivyojua mpira hii inatosha wapigwe chini Msuva abaki
Huitaji Kuwa mchambuzi kuweza kujuwa Stars haina kocha ina wasimamizi wa mazoezi tu.

Hatujachelewa sasa serikali hasa huyo mama ajitolee sasa kumlipa mshahara kocha wa viwango aje kufundisha stars.

Huyo Morocco amepata rekodi ya kuboost cv yake lakini tumwambie asante sana timu inahitaji kocha sasa, tumefuzu kimagumashi tu
 
Uvccm wakitizama marudio ya hii game kwa jinsi walivyocheza wataona aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…