Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Akicheza Samatta tunafungwa, huyo jamaa hamna kitu ana haribu sana mpira wa Taifa Stars
Acha uongo,game na Ethiopia Samatta alicheza na alitoa mchango wa goli moja hasa la pili.
Na alicheza vizuri na kutengeneza nafasi sema kipa tu alikua yuko vizuri.
 
Mbona uwanja umejaa sana nyekundu? Au ni hao wa conacry...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…