Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

Afu sijaelewa haya matangazo ya mabango yametokea wapi?

Huu uwanja si ulishaboreshwa ukawekwa display LED advertising?
 
Dunia ya ubepari hii lipa kifurushi au nenda kibanda umiza
Shida yote ya nini! Kwanza siyo mpenzi wa mpira kihivyo eti hadi nitafute sehemu ya kuangalia mpira hata ikibidi niende kibanda umiza,
Mimi ikiwa nitapata namna ya kuangalia mpira nitaangalia nikikosa basi wala siangaiki.
 
Back
Top Bottom