Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Unateseka ukiwa umechuchumaa kwenye choo cha Sinki au cha shimo kilichozungushiwa mabua?Huyu refa hajiamini si wa kupewa mechi kubwa ataishia kuharibu tu game. Hakuna offside lile ni goli halali kabisa. Hizi VAR za afrika zina miujiza! KILA LA KHERI SIMBA!
Ile alianza away hivo alienda kutafuta draw tu, akiwa na mipango ya nyumbani.Tripoli unajua matokeo ya awali yalikuaje?
Au unapayuka tu?
Ukisikia Kavu imepenya ndohii Sasa! πhahaha ubaya ushungu π
Chomoa mwiko taratibu maana tunaenda kuvaa medali kama nyie tuwatambie mtaaniOffside yenyewe ya mchongo isiyoonesha kabla ya mpira kupigwa Wachezaji walikuwa kwenye positions gani ila baada ya kupigwa ndipo mstari unaonesha offside π€£
Makolokolo bila bahasha ni mwepesi kama kumsukuma Chapombe π
daa nyingiZimeongezwa dakk 10
Hahaha dah pole sana! jaribu tena mwakaniUkisikia Kavu imepenya ndohii Sasa!
We Acha tu.Dakika 8 nyingi nimezima TV
Acha uoga wewe, jikazeDakika 8 nyingi nimezima TV
MpanzuChe Malone kachukua nafasi ya nani
Hayo yalishapita...Hii mechi ilipaswa tuimalize zenji