FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

Tupo na raha tele, sisi tulifika fainali ya magiant siyo hii yenu ya shirikisho la kitoto. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Unachutama kwa jambo gani jipya hapo?

Chukuwa kombe hilo ndio litakuwa jipya na uvimbe mpaka upasuke.

View attachment 3317675View attachment 3317676
Ulicheza na nani wakukufanya uvimbe?

Ulicheza na nani wakukufanya uwe na confidence mbele za watu?

Ulicheza na nani wakukufanya ujione upo level sawa na Simba?

Majibu ya maswali hayo ndio yanayotoa sababu za kwanini unapaswa uchutame
 
Umdhaniaye ndie kumbe sie , tumeshaandaa pa kuliweka kombe letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…