Inawezekana Barca angepigwa hata 8 kama alivyopigwa na Bayern[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inter wameidhalilisha sana fainali ya mwaka huu, ni bora hata Barcelona wangefanikiwa kuingia fainali huenda tungeshuhudia fainal bora kabisa kuwahi kutokea kwenye hii michuano.
Yaani mpaka dakika ya 74 Inter kashagongwa goli 4 halafu yeye hana shot on target hata moja, sasa ameingia fainal kufanya nini?
Inter wamelala yoooooo πππππPsg wanaandika bao la nne
Stori za kijiweni kwenye kahawa ndo wanaaminishana hivyo.. Ila kwa mtu anayejua mpira na ukubwa na uzito wa kombe la UEFA hakuna wa kufanya huo upuuzi unaoelezea hapa.Elewa hii Ngoma imeuzwa mkuu.
Mmiliki wa PSG naweka Hela nichukuwe kumbe
Mzungu wa Kamali naweka Hela usifunge hata Goli moja.
Kwahiyo Inter hajachukuwa Hilo kombe lakini kabeba mpunga mrefu Sana Kwa Hawa jamaa wawili hapo.
Hapa bingwa ni Henrique.
Nunueni mechi za simba na yanga sio uefa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inter wameidhalilisha sana fainali ya mwaka huu, ni bora hata Barcelona wangefanikiwa kuingia fainali huenda tungeshuhudia fainal bora kabisa kuwahi kutokea kwenye hii michuano.
Yaani mpaka dakika ya 74 Inter kashagongwa goli 4 halafu yeye hana shot on target hata moja, sasa ameingia fainal kufanya nini?
Wadanganye wali wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Inter wameidhalilisha sana fainali ya mwaka huu, ni bora hata Barcelona wangefanikiwa kuingia fainali huenda tungeshuhudia fainal bora kabisa kuwahi kutokea kwenye hii michuano.
Yaani mpaka dakika ya 74 Inter kashagongwa goli 4 halafu yeye hana shot on target hata moja, sasa ameingia fainal kufanya nini?
Thubutu! Inter roho yake mbaya imemponza!Inawezekana Barca angepigwa hata 8 kama alivyopigwa na Bayern
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, zilikuwa ni wiki zikawa siku hatimae ule muda wa kusubiri umeisha na leo ndio ile siku ya kuhitimisha michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya kwa msimu wa 2024/25.
Mtanange wa leo utakuwa baina ya mabingwa wa ligi kuu nchini Ufaransa Paris Saint-Germain (PSG): na washindi wa nafasi ya pili kutoka ligi kuu soka nchini Itali Inter Milan, mtanange ambao utaanza mishale ya saa 4 kamili kwa saa za Afrika ya mashatiki katika dimba la Allianz arena mjini Munich nchini Ujerumani.
Ikumbukwe ya kuwa hii itakuwa fainali ya pili kwa timu ya PSG ikiwa mara ya kwanza ilivheza fainali mwaka 2020 dhidi ya Bayern Munich na kupoteza kwa goli moja bila. PSG wamefika hayua hii baada ya kuwaondosha vigogo wa soka nchini uingereza Arsenal kwa jumla ya mabao matatu kwa moja.
Kwa upande mwingine timu ya Inter milan itashika dimbani usiku wa leo kutafta taji lake la nne la ligi ya mabingwa barani ulaya huku wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wao wa mwisho wa fainali dhidi ya wababe toka Uingereza timu ya Manchester city kwa bao moja bila majibu.
Wao wametinga fainali baada ya kuwaondoa watemi kutoka nchini hispania Barcelona kwa jumla ya magoli saba kwa sita.
Je ni Osmane Dembele au ni Lautaro Maryinez kuibuka kidedea usiku wa leo?.
Mimi na wewe hatuna manibu, majibu yatapatikana kuanzia mishale ya saa nne za usiku pale Allianz stadium.
Imekuwa kama fainali ya France Vs Croatia 2018. Vijana Vs WazeeπNilidhani mechi itakuwa ngumu sana, lakini ni kama kumsukuma mlevi. Nilidhani Inter watakuwa wamejifunza kutokana na makosa Yao ya mechi ya Barca, it's too easy for Paris. Milan wanakaba Kwa macho, hawajui wamkabe nani. PSG wako fasta sana wanacheza kama Playstation vile, hebu imagine Milan mchezaji mdogo aliyeanza ni Bastoni miaka 26, wako na kiungo Yao yote ni wazee tupu, huko nyuma ndo Kuna Babu Accerbi na Pavard wa jioni tena katoka majeruhi then unataka Babu Mikhi akimbizane na kina Joao Neves mtoto wa shule.
Wakamalia hao kwenye Moja na mbiliInter Ameniangusha sana leo
Arse8 SC na Bebwalona SC furaha zetu zote kwa Intermilan kutembezewa kichapo kinono πInter wamelala yoooooo πππππ
Hata Intermilan wangeshinda ingekuwa hadithi zile zile za alfu ulela toka kwa Liverpool, Arse8 na Aston Villa.