permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Madrid wana generation ambayo imeshinda kila kitu, ile ni ya kubomoa na kujenga timu mpya ya ushindi. Siku zote Barca hawagi na defensi ngumu sana, ila viungo na washambuliaji wazuri.Ukisema bado be specific.
Sema bado kwenye defence.
Kwengine Barca hiko vizuri tu.
Barca tukiimarisha defence,madrid hata akikaa vizuri bado atapata tabu sana.
huo ubovu wa madrid ungeuonaje kama sio kubutuliwa mara nyingi na barca?, alafu istoshe hakuna Barcelona fan aliesema barca imejipata, ila team inaundwa taratibu kilichobaki ni kuangalia how goalkeeper atalindwa dhidi ya kufikiwa na opponents. hiyo madrid unayoitaja ishajifia babu
Madrid alipaswa kumuacha atleticoMadrid kasumbuka sana mashindano yote, hadi kutolewa na Arsenal UEFA.
Kwa kweli, 😂😂😂😂Ni suala la muda tu .
Hata Rooney kipindi yuko kijana alikuwa na kipara ila now ananywele hadi kwenye paji la uso.
Uko vizuri NabiiInter anabeba Kwa mikwaju ya penalty baada ya dakika 90 kumalizika 2 - 2
Hivi ulitabiri bingwa ni nani vile?Kwa kweli, 😂😂😂😂
Kabebeshwa goli 5-0 😃Inter anabeba
Wee MM em niwachee, nina hasira na maumivu kukosa 2M, inter wameharibu mipango yangu kabisaa. LolHivi ulitabiri bingwa ni nani vile?
Dah ila 5 parefu 🤣🤣🤣Wee MM em niwachee, nina hasira na maumivu kukosa 2M, inter wameharibu mipango yangu kabisaa. Lol
Nalia hapa had kamasi, 😭😭😭Dah ila 5 parefu 🤣🤣🤣
Yani ukadhubutu kabisa kutabiri wale wanywa gongo watashinda🤣Nalia hapa had kamasi, 😭😭😭
MM niwachee kwani em, aaaahYani ukadhubutu kabisa kutabiri wale wanywa gongo watashinda🤣
Ukitaka kujua ni nyingi zigeuze kuwa bakuli za supu..Dah ila 5 parefu 🤣🤣🤣
Mpaka uefa imegeuka kama kikombe cha uji😅Ukitaka kujua ni nyingi zigeuze kuwa bakuli za supu..
Sasa kwani inter kuna mtu aliweza kuwakaba hao mbona walifunga magoli, hata barcelona wenyewe hakuna wa kuwakaba saka na rice tuseme tu msimu huu psg wana timu nzuri, hivyo arsenal walizidiwa ubora lakini siyo kwamba ni wabovu kiasi hicho na kwa uchezaji wa barcelona wangeweza kutoshana uwezo na arsenal, haya hao inter waliowatoa kina yamal na rapha kuna mtu alitegemea kwamba jana wangekula mkono, na kushindwa kuambulia hata kagoli kamoja ka kujitetea wakaishia kuwaachia watu ubingwa wenye cleansheetBarca na Arsenal ingeboa sn maana Arsenal angekufa kipind cha kwanza kwa goli nying , maana Arsenal hakuna wa kumka Yamal , Raphinha na The babu Lewa
Sikuandika Mimi,ni mtoto alichezea simuUko vizuri Nabii
Hakuambuliahuyo inter wako hata 1 kaambulia?!!
Poa hata Gwajiboy tuseme ni mfumo na sio siasa au sio?Stori za kijiweni kwenye kahawa ndo wanaaminishana hivyo.. Ila kwa mtu anayejua mpira na ukubwa na uzito wa kombe la UEFA hakuna wa kufanya huo upuuzi unaoelezea hapa.
Inter aliingia kwenye mfumo kila anayejua mpira ameona.