Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

Sijacheki pia, ngoja tumsubirie Tate Mkuu make alisema kamuona Gerry kaingia uwanjani 😁
Bahati mbaya nilitoka kidogo. Niliporudi nilikuta mpira ndiyo unaanza. Ila watakuwa walimshangilia tu kwa sababu ya kuongezwa kwa eneo la Kaunda Jangwani la kujenga huo uwanja tunao danganywa nao kila siku.

Wamerekodiwa kelele za mwaka jana zikaja kumwagwa mwaka huu
Mbona nimeishiwa pawa na jibu sijapata?
 
Bado sijamwona wakumpa stress Mudathir. hakuna wakuchukua namba yake labda kwa nongwa za kocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…