Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

Mpaka saahizi umeonaje?
Kiupande wangu wakimrudisha Marioo,ITABAMBA SANA
Marioo ni bonge la mtu halafu nishabahatika kushinda naye siku kadhaa kwenye project Moja hivi jamaa ana mapenzi sana na Yangq
 
Sema Simba na Yanga huu utaratibu ni mzuri sana unafanya wachezaji wapya na technical kwa ujumle wajue wamebeba tumaini la wengi mabegani mwao.
Inawapressurise pale wanapotaka kuzembea
 

Kwa hiyo wanetu wa Utopolo mmeamua kuleta hadi mashoga!
View attachment 3470526
​
Wanaume tutafute hela huu ni udhalilishaji kmmmk
Nilidhani Leonardo ndiyo angalau angewapa kitu cha maana cha kutoka nacho leo ila na yeye kapuyanga vibaya mno.

Sitaki kukosoa tamasha maana nitaambiwa naongea kishabiki ila daah tamasha bovu mno.
 
Sema badala ya Zuchu wangetupa Marioo kwakweli yaaani mimi mwanamme nizungushe antena kweli, mara Amanda daah Ali Kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…